nijibu swali langu kwanza..simple.
Jay-Z is more valuable to the game than Rakim, therefore Jay-Z is a greater Emcee than Rakim.
Jay-Z is more valuable to the game than Rakim, therefore Jay-Z is a greater Emcee than Rakim.
to pimp my butterfly ndo album bora kwa mwaka huu.humo ndani ana nyimbo INAITWA KING KUNTA kali sana
Wana hiphop walio bora wako nchi gani bongo au?😀😀sioni wana hiphop huko amerika,naona wabana pua tu na mabishoo
Jay Z hawezi mfikia Biggie....
Kitu pekee kimemfanya Jay Z aje kuwa big star ni vifo vya Biggie na Tupac
Alipokuwepo Biggie Jay z alikuwa one among many..nothin special
ile vacuum iliyo achwa na Biggie na Tupac ndio imemfanya Jay Z aweze ku shine
na still ana bite so many lyrics from Biggie...
Wana hiphop walio bora wako nchi gani bongo au?😀😀
C'mon El Jefe. Hutakiwi kusema vitu kama hivi Chief. Hizi mambo wanatakiwa kusema kina Mos Def wanaosema Rakim's not mainstream.
Kufa kwa Tupac na Big, hakuhusiani na mafanikio ya Jay. Kila mtu ana muda wake. Tupac blew up when KRS One's still alive. Nas blew up when Rakim's still alive. Big blew up when The Kane's still alive. So even Jay woulda blown up still, hata kama Pac na Big wasingekufa. Mind you, jamaa ametoka bila mainstream support.
Jay-Z pays homage to his homeboy, and the man who birth'ed him, to keep his memory alive. Hii kitu aliisema toka zamani sana. Kwenye hardknock life kuna line anasema...flow infinitely, like the memory of ma' N!gga Biggie na akamalizia na signature ya Big (ba-by!). Kwenye excuse me miss pia kamrusha Big cuz I see some ladies tonight, that should be rolling with Jay-Z, Jay-Z. Is that what they call biting?
Jay-Z anapigwa mawe sana ili kumzuia. Mara Maison. Mara biter. Mara he's ugly. Wanasema, "If they don't hate on you, you probably ain't doing sh!t". That should tell you what Jay-Z is to the rap game.
Leo nikiuliza what Big stood for? Sidhani kama kuna anayeweza kusema. Zaidi ya cliche "rags to riches", ambayo technically his mum called him a liar.
Jay-Z is more valuable to the game than Rakim, therefore Jay-Z is a greater Emcee than Rakim.
Haujaongelea lolote kuhusu Hip Hop mama utamaduni uliojengwa kwa nia madhubuti kumkomboa mtu mweusi kwenye dhiki nyingi inayosababishwa na taasisi zisizojali iwe US au popote pale duniani. Unaongelea Hip Hop kama experience flani inayopaswa kumwangalia mtu zaidi kuliko kile anachosimamia. Sikiliza ndugu yangu uliyemezwa na mainstream media na mahaba binafsi kwa Jigga......mtu mama KRS One Nas na wengine wa calibre yake hawajisimamii wao tu kama brand pia wanajua sauti zao na kile wanachokisema kitabaki miaka mingi baada yao. Copy that? Mimi naona Jigga amepata bahati tu media zinazosimamia faida bila kujali future itakuwa ni nini wanatoa sana support kwa watu wanaofanana nao kimienendo na kitabia. Hii proven fact kuhusu human relation watu wenye malengo sawa husaidina kwa mambo lukuki. Sara hivi hili ni tatizo kubwa na linajulikana. Big up to Krs one, Rakim Allah, Nas and the likes bila kumsahau dada yetu Ms Lauryn Hill. Hip Hop is bigger than fake J Zee. You ask how much money we have in bank account? Ooooh man.....we don't have that type of riches.
Hii fallacy yako watu wanataka kuiamini. Stop deceiving people....... hauwezi kupima value ya mtu kwakutumia material possessions au fame huo ni utoto and seems you don't understand what life really worth.
Hahaha. Another one.
Nina maswali kadhaa tu kwako.
*what's mainstream music?
*niambie Rakim na Nas walisimamia nini kwenye muziki wao. Show me that struggle kupitia walichosema, na walichofanya.
*halafu nipe shule zaidi kuhusu Hip-hop, na kivipi Nas, KRS, na wengine wanawakilisha zaidi ya Jay-Z.
Chief, rudi kwa mwalimu wako wa kingereza akurudishie hela yako. Kama unashindwa kuelewa lugha rahisi na ya moja kwa moja kama hiyo, hizo metaphors za kwenye rap unazielewa vipi? Wapi nimezungumzia material possessions?
Jiga ni brand kama vile Pepsi au Coca-Cola haitaji kujinunulia album. Aliwakataa ulimi Madson square lile balaaa alilofanya.
You can't separate hip-hop&2pac Omar Shakur...
The best ever rapper&Mc
R.I.P shakur ..ur legacy will live forever..2pac Shakur#