Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

Jay Z hawezi mfikia Biggie....
Kitu pekee kimemfanya Jay Z aje kuwa big star ni vifo vya Biggie na Tupac
Alipokuwepo Biggie Jay z alikuwa one among many..nothin special
ile vacuum iliyo achwa na Biggie na Tupac ndio imemfanya Jay Z aweze ku shine
na still ana bite so many lyrics from Biggie...
 
C'mon El Jefe. Hutakiwi kusema vitu kama hivi Chief. Hizi mambo wanatakiwa kusema kina Mos Def wanaosema Rakim's not mainstream.

Kufa kwa Tupac na Big, hakuhusiani na mafanikio ya Jay. Kila mtu ana muda wake. Tupac blew up when KRS One's still alive. Nas blew up when Rakim's still alive. Big blew up when The Kane's still alive. So even Jay woulda blown up still, hata kama Pac na Big wasingekufa. Mind you, jamaa ametoka bila mainstream support.

Jay-Z pays homage to his homeboy, and the man who birth'ed him, to keep his memory alive. Hii kitu aliisema toka zamani sana. Kwenye hardknock life kuna line anasema...flow infinitely, like the memory of ma' N!gga Biggie na akamalizia na signature ya Big (ba-by!). Kwenye excuse me miss pia kamrusha Big cuz I see some ladies tonight, that should be rolling with Jay-Z, Jay-Z. Is that what they call biting?

Jay-Z anapigwa mawe sana ili kumzuia. Mara Maison. Mara biter. Mara he's ugly. Wanasema, "If they don't hate on you, you probably ain't doing sh!t". That should tell you what Jay-Z is to the rap game.

Leo nikiuliza what Big stood for? Sidhani kama kuna anayeweza kusema. Zaidi ya cliche "rags to riches", ambayo technically his mum called him a liar.
 
Haujaongelea lolote kuhusu Hip Hop mama utamaduni uliojengwa kwa nia madhubuti kumkomboa mtu mweusi kwenye dhiki nyingi inayosababishwa na taasisi zisizojali iwe US au popote pale duniani. Unaongelea Hip Hop kama experience flani inayopaswa kumwangalia mtu zaidi kuliko kile anachosimamia. Sikiliza ndugu yangu uliyemezwa na mainstream media na mahaba binafsi kwa Jigga......mtu mama KRS One Nas na wengine wa calibre yake hawajisimamii wao tu kama brand pia wanajua sauti zao na kile wanachokisema kitabaki miaka mingi baada yao. Copy that? Mimi naona Jigga amepata bahati tu media zinazosimamia faida bila kujali future itakuwa ni nini wanatoa sana support kwa watu wanaofanana nao kimienendo na kitabia. Hii proven fact kuhusu human relation watu wenye malengo sawa husaidina kwa mambo lukuki. Sara hivi hili ni tatizo kubwa na linajulikana. Big up to Krs one, Rakim Allah, Nas and the likes bila kumsahau dada yetu Ms Lauryn Hill. Hip Hop is bigger than fake J Zee. You ask how much money we have in bank account? Ooooh man.....we don't have that type of riches.
 
Hahaha. Another one.

Nina maswali kadhaa tu kwako.

*what's mainstream music?

*niambie Rakim na Nas walisimamia nini kwenye muziki wao. Show me that struggle kupitia walichosema, na walichofanya.

*halafu nipe shule zaidi kuhusu Hip-hop, na kivipi Nas, KRS, na wengine wanawakilisha zaidi ya Jay-Z.

Hii fallacy yako watu wanataka kuiamini. Stop deceiving people....... hauwezi kupima value ya mtu kwakutumia material possessions au fame huo ni utoto and seems you don't understand what life really worth.

Chief, rudi kwa mwalimu wako wa kingereza akurudishie hela yako. Kama unashindwa kuelewa lugha rahisi na ya moja kwa moja kama hiyo, hizo metaphors za kwenye rap unazielewa vipi? Wapi nimezungumzia material possessions?
 
Hahaha. Another one.

Nina maswali kadhaa tu kwako.

*what's mainstream music?

*niambie Rakim na Nas walisimamia nini kwenye muziki wao. Show me that struggle kupitia walichosema, na walichofanya.

*halafu nipe shule zaidi kuhusu Hip-hop, na kivipi Nas, KRS, na wengine wanawakilisha zaidi ya Jay-Z.

Chief, rudi kwa mwalimu wako wa kingereza akurudishie hela yako. Kama unashindwa kuelewa lugha rahisi na ya moja kwa moja kama hiyo, hizo metaphors za kwenye rap unazielewa vipi? Wapi nimezungumzia material possessions?

Mengi tu wamefanya siwezi sema yote ila kwafaida ya watu wote hapa nitanukuu baadhi ya maneno ya Nas ambayo kwakiasi kikubwa inaakisi kile anachosimamia na kwa maoni yangu hivi ndivyo Hip Hop inapaswa kuwa. Nas yeye anatukumbusha mambo yamsingi sana kuhusu Hip Hop na nguvu inayoweza kuundwa na kuitete jamii kama misingi ya Hip Hop itafuatwa. Nas aliongea ukweli huu wakati anarelease studio album Hip Hop is dead. Nakukumbisha wewe ndugu......jamii inataka mtu aseme kweli na tukimwangalia matendo yake na maneno yake tujue kweli huyu yupo upande wetu na anapigania misingi. Jaribu kufuatilia project wanazofanya Nas na Damian Gong Jr Marley unafahamu zaidi.......

Pia unasema nirudi shule kuhusu "kiingereza changu" hapa utakuwa na tatizo kubwa kwasababu haikuwa nia yangu kujinadi nani anajua kiingereza zaidi. Au wewe mentality yako inakuongoza hivyo kuwa kujua kugha ya kigheni zaidi hata ya wenye lugha ni fahari. Hapa umeniangusha sikuelewi na sitokaa nikuelewe. Sasa msome Nas katika haya aliyosema kuhusu na ufuatilie kwa karibu kabisa alichoandika Krs One katika buku lake lenye pages zaidi ya 800 The Gospal of Hip Hop. Ukweli utasimama hata muupinge na kujiona bora kuliko Hip Hop yenyewe.

"When I say 'hip-hop is dead', basically America is dead. There is no political voice. Music is dead ... Our way of thinking is dead, our commerce is dead. Everything in this society has been done. It's like a slingshot, where you throw the muthafucka back and it starts losing speed and is about to fall down. That's where we are as a country ... what I mean by 'hip-hop is dead' is we're at a vulnerable state. If we don't change, we gonna disappear like Rome. I think hip-hop could help rebuild America, once hip-hoppers own hip-hop ... We are our own politicians, our own government, we have something to say"
 
Jay's response to people who say he steals too many lines from Biggie – in fact, he's doing it to pay tribute to his fallen friend and to the borough they both lived in. Since Jay Z is a rapper roughly as good as Biggie, he has the right to use Biggie's lines to pay homage to him whereas some small-time rapper who did so would just be overstepping his bounds.

~ rap genius
 
Can I get open

[video]https://youtu.be/_kcCcyPi-2A[/video]
 
Big Daddy Kane ft. Scoob, Sauce Money, Shyheim, Jay-Z., Ol' Dirty Bastard

Last edited by a moderator:
#matumbo-j kukufanya. Uipende phop haimfanyi awe best mc kuwah kutokea
Blv me ungeijui hiphop vizuri ungejua hata top five hatusui hata kwa nas escobar hapumui u just like his publicity not how deep he is!from kuiba mistari kukopi mpaka kukopi style,hell no j wasn't that dope
Either way naheshimm mchango wake kwenye game
 
You can't separate hip-hop&2pac Omar Shakur...
The best ever rapper&Mc
R.I.P shakur ..ur legacy will live forever..2pac Shakur#
 
Jiga ni brand kama vile Pepsi au Coca-Cola haitaji kujinunulia album. Aliwakataa ulimi Madson square lile balaaa alilofanya.

Ile show ya Madson Square Garden ninayo nimeitunza na ninaiangalia kila Siku. Bonge la show huku Memphis Bleek akimpa backup ya nguvu big bro wake. Watoto wa Brooklyn wakaiteka Manhattan kwa muda
 
Back
Top Bottom