Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

May 1 mko wapi inamaana hapa JF hawapo?
 
Babuuuu...then siku 7 baadaye mjukuu mtiifu nikazaliwa...

28/01.

Sasa nimeamini, wote waliozaliwa January ni majinias afu wana ngekewa ile mbaya.

Tutafute average tusheherekee siku moja. Nakupa kazi utafute mabinti wawili warembo waliozaliwa January wawe wageni rasmi kwenye vitanda vyetu.

cc Preta kwa msaada

bcc Nicas Mtei kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:

Ahahahahahahaha babuuuu kwa utekelezaji. Hivi nani na nani wale vipi!?? Ngoja nikaone hepi besidei zao.

Af tarehe ya kati ni 25 January, Kebby's...lol
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia mwanzo mwisho sijapata mwenzangu, loh. Nimekutana na jirani zangu tu PreetG na conductor. Ina maana sina pacha mie? Jitokezeni basi.!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…