mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
aaaah hatimaye nimepata mwenzanguu aiseee30 September
nipooò hapaaaaMember aliyezaliwa 30 September plss
Hahaha yaniii" humu mbona tunandugu zetu tunatukanana kwa kwenda mbele hahaha... ndio raha ya jfNimefungua hii post nikiwa natetemeka hatariiiiiii.
Uwiiiiiiiiiiii afadhali aiseee,sijui ningekuangaliaje usoni as my brother [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi fake ID zinatufanya wehu aiseee
Kuna kitu cha kujifunza thou.
Weeeee kaka yangu ni genius haswaaa,halafu veeery handsome.Hahaha yaniii" humu mbona tunandugu zetu tunatukanana kwa kwenda mbele hahaha... ndio raha ya jf
Msalime brother watu tuliozaliwa Dec sio wa sport sport vere smart
I'm here. 9/109 october
12/june mko wapi Gemin[/QUOTkina June tupo
25 june