Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimefungua hii post nikiwa natetemeka hatariiiiiii.
Uwiiiiiiiiiiii afadhali aiseee,sijui ningekuangaliaje usoni as my brother [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hizi fake ID zinatufanya wehu aiseee
Kuna kitu cha kujifunza thou.
Hahaha yaniii" humu mbona tunandugu zetu tunatukanana kwa kwenda mbele hahaha... ndio raha ya jf
Msalime brother watu tuliozaliwa Dec sio wa sport sport vere smart
 
Hahaha yaniii" humu mbona tunandugu zetu tunatukanana kwa kwenda mbele hahaha... ndio raha ya jf
Msalime brother watu tuliozaliwa Dec sio wa sport sport vere smart
Weeeee kaka yangu ni genius haswaaa,halafu veeery handsome.
Mimi nae ni mapacha tuliopishana miaka,tunafanana sana.
Zimefika mkuu,thanks.
 
Back
Top Bottom