Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Seriously,ila kaka yangu anaishi Mbeya...kama nawe unaishi huko ni balaa aiseeee.
Maana in real life tunapendana sana na kaka yangu.
Am livin in dar es salaam afadhalii maana ingekua aibu" ile mishushu ukiyokua unanipa ningekukata maskio hahah
 
Am livin in dar es salaam afadhalii maana ingekua aibu" ile mishushu ukiyokua unanipa ningekukata maskio hahah
Nimefungua hii post nikiwa natetemeka hatariiiiiii.
Uwiiiiiiiiiiii afadhali aiseee,sijui ningekuangaliaje usoni as my brother [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hizi fake ID zinatufanya wehu aiseee
Kuna kitu cha kujifunza thou.
 
Back
Top Bottom