Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimepitia humu nimegundua hata pacha wangu hajajiunga JF, 11/11 anatafutwa
 
Pacha wangu sijampata, labda sasa nitafute watu wenye umri moja na mimi wawe mapacha zangu.
 
hata mie sijampata..jaman eee 7 august ajitokezeee
[FONT=book
antiqua]Pacha wangu sijampata, labda sasa nitafute watu wenye umri moja
na mimi wawe mapacha zangu.[/FONT]
 
November 4 jamani mbona sioni pacha wangu humu?
 
31st march. hii tarehe adimu sana kwa watoto kuzaliwa. nimechelewa kuona thread, ila I would like to meet my twin jamani kama yupo humu JF
 
Mmh....sijui na mimi sina pacha. Taurus babies wenzangu... wa May 13 jamani...
 
Tuko, habari ni hii:

...na si vinginevyo.

Watu wakiwa kabla ya 25 wanapenda kutaja umri zao, wakishafika 25, wanakuwa wagumu kutaja, ila wakifika tena 60 wamakuwa happy kutaja, kabla hata hawajaulizwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…