Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Last edited by a moderator:
ooopss thanks for remaindin me...happy bornday mtalaka jamani....MUNGU akupe hekima...afya..aman na ila uliombalo lipate kutimia...valentina njoo umpe shout out xshem....! chalii wa ara na wewe hupitwi?? btw thanks kwa kunikumbusha hili tukioo

Hahahaha charty yaaan umenisusa hata tarehe yangu ya kuzaliwa umeisahau mweeeeeh kweli mapenz yana run duniaa.asanteeeee amen.ila nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
Nawaombea maisha marefu wote mliozaliwa tarehe kama ya leo, Mungu awalinde na maradhi, ajali na awajaze Bahati na Mafanikio! Happy Birthday
 
Hahahaha charty yaaan umenisusa hata tarehe yangu ya kuzaliwa umeisahau mweeeeeh kweli mapenz yana run duniaa.asanteeeee amen.ila nimekumiss

ILA yangu usinilipe itakua 22.NOV... sasa tunasherekea wapi siku hii nije na dhawadi yakoo??
 
Back
Top Bottom