Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy born day Kibajajitz na wote mlio zaliww siku yq leo bibie charty anajua ??? Na Valentina je 😛😛 wape hi #jfg wote

ooopss thanks for remaindin me...happy bornday mtalaka jamani....MUNGU akupe hekima...afya..aman na ila uliombalo lipate kutimia...valentina njoo umpe shout out xshem....! chalii wa ara na wewe hupitwi?? btw thanks kwa kunikumbusha hili tukioo
 
Happy birthday mkuu.... Mungu akupe maisha marefu.... charty amesema eti umetimiza miaka 45.. Me ain't sure.... Hebu njoo uthibitishe hili.....

hahahah MGuccI wachaa kumzeesha x-babe...unataka watoto wazur wamkimbiee???
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mkuu.... Mungu akupe maisha marefu.... charty amesema eti umetimiza miaka 45.. Me ain't sure.... Hebu njoo uthibitishe hili.....

Hahahaha hajakosea mkuuu nishakuwa mtu mzima sasa asanteeeee aiseeeee kwa kuniwish mkuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom