Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.

Ungeandika August 19,ningeshapata twin wangu saa ingine muwe mnadanganya.
 
Back
Top Bottom