mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Happy born day Kibajajitz na wote mlio zaliww siku yq leo bibie charty anajua ??? Na Valentina je 😛😛 wape hi #jfg wote
ooopss thanks for remaindin me...happy bornday mtalaka jamani....MUNGU akupe hekima...afya..aman na ila uliombalo lipate kutimia...valentina njoo umpe shout out xshem....! chalii wa ara na wewe hupitwi?? btw thanks kwa kunikumbusha hili tukioo
Nov 20
Nawaombea maisha marefu wote mliozaliwa tarehe kama ya leo, Mungu awalinde na maradhi, ajali na awajaze Bahati na Mafanikio! Happy Birthday
ILA yangu usinilipe itakua 22.NOV... sasa tunasherekea wapi siku hii nije na dhawadi yakoo??
13 January ni nani?
5th March 1989
November, 21st