Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.
Mkuu, kwanini tusiweke na miaka kabisa ili agemates tuliomo humu tujuane? Mimi ni 31st, Dec, 1975. Natumaini na wengine mtafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom