Jileka
Senior Member
- Apr 1, 2013
- 186
- 114
Hii ni cku niliyo funga ndoa!26 july
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni cku niliyo funga ndoa!26 july
Leo ni tarehe ngapi kwani?Jamani tulio zaliwa tarehe ya leo mbona Kimya.....? ? ? ? Au ndio nipo peke yangu.
Mkuu, kwanini tusiweke na miaka kabisa ili agemates tuliomo humu tujuane? Mimi ni 31st, Dec, 1975. Natumaini na wengine mtafanya hivyo.Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Hi my twinMarch, 21
My pacha21 march
27 March.
Daah kidogo tuu niumieO7 september