wailer hov
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 286
- 409
30/12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja bingwa[emoji123]30 December asee
Hahahaaa. Eti umelia Paaah.Hahahahha jirani hadi moyo umelia paaaah et 20....
Mimi nimekula chumvi ya kutosha.. 198..
Hahahha kama risasi... Baada ya kunitabiria kizaz cha Mkapa.Hahahaaa. Eti umelia Paaah.
Hongera sana aiseee. Ila bado nimekuacha mbali sana aiseee. Sijui kama sio umri wa mwanangu weye jirani. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].
Mie 195..... [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
😂😂😂😂 haya bana jirani.Hahahha kama risasi... Baada ya kunitabiria kizaz cha Mkapa.
Muogope Mola jirani. Japo ID fake zinatubeba ila Mola hapendi[emoji33][emoji33]
Sema ukweli wako sasa usikike jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana jirani.
finally wa may, 10. maana nilishahisi mwezi wa 5 tarehe 10 hakuna mwingine zaidi yangu maana nilikuwa naona tu kina Smile gorgeousmimi Mr Rocky etc
wapi waleee wa MAY 10.
Ahsante pacha.Febr/27
Nipo pacha nambie27 Feb hakuna humu,..?? maana nimepitia zote cjaona 27 Feb [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilizaliwa pekeangu nn
Tumepishana kidogo mimi June 11
13 june