gloryrimoy
Member
- Jan 11, 2014
- 22
- 3
14 julay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
loh.... December haina raia kabisa...
Haya jamani yaonekana nipo mwenyewe
13th, dec.
Happy birthday to me 15 January!! Heaven on Earth yako lini?
too bad yangu ni September 26
aisee mie nilikuwa nasubiri sana wa hii tarehe!! 7 au sita.. sio mbaya!
tukitafuta average inakuwa sawa kabisa!
au sio Chujio? my beloved one, angalau awe katika hizi tarehe mbili... sio mbaya!
...si mbaya kabisa, ni sekunde kadhaa tu mpendwa! Pamoja sana!!
Hahahaa! hiyo tarehe ina watu wapole mkuu...ngoja wajitokeze..ila mh!! nina wasiwasi na mwekundu !
waoo hatimae nimekupata! du!? naona tuwe tunakutana tarehe hiyo halafu tunaimba kale kwa wimbo....h.h.h.hhhapy birthday to.....to.to to me&you!
April 24
Hadi mda huu nishaona pacha wangu 4
bado niko nawe ujue..!!
umeniacha siku 17 mbele!
but all is well!
we mwezi gani
15 july