ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
ahaaaa nilidhaini ni mm
sorry eti mtu akikumwambia RYT? maana yake nini?
sorry eti mtu akikumwambia RYT? maana yake nini?
Sio wewe, kuna mwengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wewe, kuna mwengine
ahaaaa nilidhaini ni mm
sorry eti mtu akikumwambia RYT? maana yake nini?
ahaaaa nilidhaini ni mm
sorry eti mtu akikumwambia RYT? maana yake nini?
Kumbe na wewe ni september LOL..at least I got a sisy
naendelea vyema
hahahaa!! akija, mshike mkono kabisaaa!!
ni ni komandoo, navunja tofali sita kwa hisia tu!
sasa je nikinyanyua mkono? si ntapelekwa guantanamo kabisa?
Hahaaa.. 🙂yaani exile guantenamo itakuhusu pacha au mbaya zaidi ukajikuta 🙄...hahaa! pacha hatutaki kukupoteza!!!
itabidi nisubirie besti ila kuna mtu mjengoni humu ananitafutia ubaya
yaani ni mchokozi na anataka nigombane naye tena mara 2 nami sitaki
kwani ni mwaka mpya sijui nimemkosea inini na wakati sina mpango naye
nisaidie bestito nimfanyaje mtu huyu?
kama ningeandika mimi basi nakusudia ufupisho wa neno "right"
msamehe
Itakuwa inapendeza zaidi
Class mate...niajezzz! sasa si heri tuunganishe mi na wewe..28 Jan kwa 28 May....niko tayari kumtosa babu Asprin kwa ajili hii!
Babuuuuu Asprin, huyu naye ni wa januari, vipi has she bin inspected!??
Cc: Vin Diesel - tumekuachia wako!
Pacha na mimi ni 24 April
1st April
Hayuko kwenye kitabu changu cha kumbukumbu.... Do the needful ASAP.Class mate...niajezzz! sasa si heri tuunganishe mi na wewe..28 Jan kwa 28 May....niko tayari kumtosa babu Asprin kwa ajili hii!
Babuuuuu Asprin, huyu naye ni wa januari, vipi has she bin inspected!??
Cc: Vin Diesel - tumekuachia wako!