Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

hahahaa!! akija, mshike mkono kabisaaa!!

ni ni komandoo, navunja tofali sita kwa hisia tu!

sasa je nikinyanyua mkono? si ntapelekwa guantanamo kabisa?

Hahaaa.. 🙂yaani exile guantenamo itakuhusu pacha au mbaya zaidi ukajikuta 🙄...hahaa! pacha hatutaki kukupoteza!!!
 
Last edited by a moderator:
itabidi nisubirie besti ila kuna mtu mjengoni humu ananitafutia ubaya
yaani ni mchokozi na anataka nigombane naye tena mara 2 nami sitaki
kwani ni mwaka mpya sijui nimemkosea inini na wakati sina mpango naye
nisaidie bestito nimfanyaje mtu huyu?

msamehe
 
Class mate...niajezzz! sasa si heri tuunganishe mi na wewe..28 Jan kwa 28 May....niko tayari kumtosa babu Asprin kwa ajili hii!

Babuuuuu Asprin, huyu naye ni wa januari, vipi has she bin inspected!??

Cc: Vin Diesel - tumekuachia wako!

Mkuu Mentor si wajua kanuni ya kula haramu? lazima inone kama mkia wa kondoo
 
Last edited by a moderator:
Narudia tena 29 february, wa2 hamuioni au? Birthday yenyewe ni kila baada ya miaka kadhaa ss cjui nibadili tarehe?
 
Class mate...niajezzz! sasa si heri tuunganishe mi na wewe..28 Jan kwa 28 May....niko tayari kumtosa babu Asprin kwa ajili hii!

Babuuuuu Asprin, huyu naye ni wa januari, vipi has she bin inspected!??

Cc: Vin Diesel - tumekuachia wako!
Hayuko kwenye kitabu changu cha kumbukumbu.... Do the needful ASAP.
 
Back
Top Bottom