Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
21 december, I can't find my twin yet oooop
Mkuu same date :thumbup::thumbup::thumbup:
Asee mdogo wangu ni twin wako sema tu ndo hayupo humu
Ama kweli maajabu hayaishi, hadi nimemaliza kurasa zote na sijapata wa tarehe yangu! Mwezi July inaonekana wanazaliwa wachache sana; wenzangu wan mates wanne mimi sina hata mmoja!
February 14
Ama kweli maajabu hayaishi, hadi nimemaliza kurasa zote na sijapata wa tarehe yangu! Mwezi July inaonekana wanazaliwa wachache sana; wenzangu wan mates wanne mimi sina hata mmoja!
Kama mimi sept 20
February 14
Mie kesho yakeAugust 2nd
29 march
Mie kesho yake
JULY 26... dnt tell me kwamba tuko lucky kuwa wachache zaid tunaozaliwa mwezi July!
hata miye meona! Mana mwenye tareh yangu hata wakusingiziwa sijamuona! Duu!
19 april
May 1 mko wapi inamaana hapa JF hawapo?