Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Ama kweli maajabu hayaishi, hadi nimemaliza kurasa zote na sijapata wa tarehe yangu! Mwezi July inaonekana wanazaliwa wachache sana; wenzangu wan mates wanne mimi sina hata mmoja!
 
usikate tamaa! mwezi huo tupo sema tarehe ndo kimeo! maana mimi ni katika mwezi huo siku ya kumi na tano"
 
Ama kweli maajabu hayaishi, hadi nimemaliza kurasa zote na sijapata wa tarehe yangu! Mwezi July inaonekana wanazaliwa wachache sana; wenzangu wan mates wanne mimi sina hata mmoja!

Mi mbona ni wa July 6..
 
JULY 26... dnt tell me kwamba tuko lucky kuwa wachache zaid tunaozaliwa mwezi July!
 
Back
Top Bottom