Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

mie ni august 07..yule nlookuunganisha nae ndio august 06..sijui kwa nini nanyi mlichelewa ivo..mngewahi kidoogo tu

Aha ha ha,,inawezekana tulipishana Sekunde tu

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
usikate tamaa! mwezi huo tupo sema tarehe ndo kimeo! maana mimi ni katika mwezi huo siku ya kumi na tano"

Mkuu, umeshampata wa tarehe yako? Mwezi Julai inaonekana wanazaliwa wachache sana. Mimi ngoja niendelee kutafuta huyo wa tarehe 10 Julai.
 
Jaman wa tar 29/1 anitafte bac tufanye ata ki-party kdogo, cku zinakaribia ivo.
 
01 December

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
jamani mimi nimezaliwa dec 12 japo nimechelewa nitafutieni twin
 
Mkuu, umeshampata wa tarehe yako? Mwezi Julai inaonekana wanazaliwa wachache sana. Mimi ngoja niendelee kutafuta huyo wa tarehe 10 Julai.

Usihofu wa tarehe yako atakuja soon! mi nlishapata wawili!
 
Back
Top Bottom