Happy birthday Jolie Jolie

Happy birthday Jolie Jolie

Asante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote

Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...

Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.

Nakupenda
Nakupenda pia jj

hahh

I mean anakupenda pia
 
Good msg.
We men like to be appriciated too.

Ndio maana umemkamata kijana wetu
Hhehehee!
 
Asante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote

Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...

Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.

Nakupenda
Nimeishiwa maneno..but nipo hapa kwa ajili yako mpenzi,nakupenda pia
 
Back
Top Bottom