Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Wa nani tena?Naona mtu anatafuta ugomvi na mtu mwingine humu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa nani tena?Naona mtu anatafuta ugomvi na mtu mwingine humu....
Braza hiyo harus ilifanyika lini tenaIla hukutoa mchango wa harus yao
Anantafutia balaaAaaah
Braza wewe ufuate maelekezo
Picha ata iweka hazard wape birthday tuu inatosha
[emoji1]
Mbona unakazania picha!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukimtaja anakosa usingiz
muache alale kwa amani
Nakupenda pia jjAsante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote
Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...
Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Nakupenda
Muite Mzigua amchukue [emoji1]Anantafutia balaa
Umemuuliza nini?Wewe nakuuliza hutak kujibu ? Swali nililokuulizaa unajifaraguaa tu
Mimi hapaUmeamka mama
Zimefika mpendwa wanguHaina shida ikiwa wewe mwenye nyumba utamfikishia inatosha
Nna waapriciate sana nyie.
Hahah wewe wajua kila kituHahaha anataka achunguze kama chura ipo
Kumbe bado ni gf na bfBraza hiyo harus ilifanyika lini tena
Akat wamekutana juzi tuu hawa!!
Mweeh!
[emoji16][emoji16][emoji16]PM huko nduguUmemuuliza nini?
Good msg.Asante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote
Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...
Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Nakupenda
UmekomaliaHapana
picha ya b day gal muhimu kwa matumizi ya ofisi
HahahaNakupenda pia jj
hahh
I mean anakupenda pia
NakaziaPamoja sana mkuu..hakikisha mama anapata kitenge wax ya maana,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu ana kazi nyingiAaaa
Hilo mi siwaombei
Mungu ana kazi nyingi kubwa haez shughulika na boyfriend na girlfriend wasiachane eti.[emoji1]
Wapambane wenyewe
AaahKumbe bado ni gf na bf
Nimeishiwa maneno..but nipo hapa kwa ajili yako mpenzi,nakupenda piaAsante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote
Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...
Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Nakupenda
Hahaha sawa mkuu!Pamoja sana mkuu..hakikisha mama anapata kitenge wax ya maana,,