Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Braza Lee umetisha aseeHapp Birthday Miss Jolie......
Ukuje kuchua hii suprise cake yakooView attachment 743932
Inafaa na wewe upewe zawad kwa kutoa zawad kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Braza Lee umetisha aseeHapp Birthday Miss Jolie......
Ukuje kuchua hii suprise cake yakooView attachment 743932
Acha kumtaja mama watoto mahali hapaHahaha
Yeye aka deal na Mzigua90 wake
Hahaha ukisikia bday basi tukutane sheliThanks guys
Upendo wetu na udumu,
sema hukuniambia mapema tunge ku suprize na gari [emoji1]
Njoon ila mtangulize picha yako kwanzaWe shem we,ntakuja na hazard kuja kuchukua
HahahahaaShukrani sana kwako,nakuita mpenda amani[emoji23]
Hahahaha kwa vile ni KE natoa tuu kiroho safi......Braza Lee umetisha asee
Inafaa na wewe upewe zawad kwa kutoa zawad kama hii
Kuweka watsap status kwa heshima yakeHahahahaa
Ulivo ng'ania basii.
Matumizi kama yepi?
Kafanya nin tena? au kaungana na wale maharamia wa jana?Wala siyo mzimaa nina shidaa na huyo Da vinci
EeehMbona washafungwa pingu za maisha hawa
Unabagua jinsia bossHahahaha kwa vile ni KE natoa tuu kiroho safi......
Khaaa sasa kaka nikajua utafurahi akitajwaAcha kumtaja mama watoto mahali hapa
Anajua alichokifanyaa akii nikijuaaa oooh atanikomaa Da vinci na genge lakeee sijui kaenda wapiKafanya nin tena? au kaungana na wale maharamia wa jana?
Ila hukutoa mchango wa harus yaoEeeh
Wakazane watunze ndoaaa
Siye tuwaombee mengine
EeeehHahaha ukisikia bday basi tukutane sheli
Ukimtaja anakosa usingizKhaaa sasa kaka nikajua utafurahi akitajwa
[emoji33] [emoji33] [emoji33] hapana KE wakiwezeshwa wanaweza ni watu wa muhimu mnoooUnabagua jinsia boss
HahahaHahahaha kwa vile ni KE natoa tuu kiroho safi......
Kaandike hiviKuweka watsap status kwa heshima yake
Asante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwanguHaving you in my life is a more than a dream come true: Happy Birthday, Sweetheart!
Wew huna nia njema na plan zanguKaandike hivi
Happy birthday JJ
Nayo itafaa