Happy birthday kimey!

Aah....
Hivi askofu ameenda wapi siku hizi?? :confused2:

Askofu ana hangaika na kesi zake za upotevu wa sadaka, so kwa humu ni kama ame :rip:
 
NAMWONA Xyln hapo chini....

akizichukulia hizi jokes serious tumekwisha
 
NAMWONA Xyln hapo chini....

akizichukulia hizi jokes serious tumekwisha

Makwenzi kwa watoto, Ngumi kwa wakubwa:israel::israel::israel:
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
 
Hehehe na wadhungu tunajibu Thanks mkuu for your wish!

oyaaa, kumbe leo besidei yako?? why sikujua isee!! hepi besidei..naona umeanza nyimbo zako zile za longi za vijana jazz, matimila n.k..
 
Naona nimechelewa...

HAPPY BIRTHDAY.... Havu a naisi dei...
 
Alright!! punguzeni ukali wa maneno wakuu!!:A S 20:
 
Thanx kamanda kuna kaubeti kanasema! "huku niliko wazazi wangu sina ndugu,
Lakini kutokana usia wenu wazazi wangu, najiona kwamba nipo nyumbani eee!

ushaanza misongi yako ya kalee!! jojina jojinaa..umeniachia masikitikoo jojinaa jojinaa eehhh!!
 
Hapo juu, mkuu Maxence naona anachungulia tu, hatoi hata salamu za besidei.....

Mkuu sharing is caring bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…