Happy birthday kimey!

Hapo juu, mkuu Maxence naona anachungulia tu, hatoi hata salamu za besidei.....

Mkuu sharing is caring bwana!

Una apetait ya ban kijana.....
 
Kheee Kheee intelijensia yako itakuwa inasemaje vile, halafu si huwa kuna marudio ya taarifa ya habari

naona mazungumzo baada ya habari yamezidi ntapiga stop iwe muhtasari tuuuu
 
oyaaa, kumbe leo besidei yako?? why sikujua isee!! hepi besidei..naona umeanza nyimbo zako zile za longi za vijana jazz, matimila n.k..
Thanx mpwa mambo vp? Hizo ndo nyimbo zetu sie tuliosoma mido skuli
 
Happy birthday Kimey.Hongera kwa kufikisha umri ulionao.Ungekuwa mdada ningekufanyia pati,ha ha ha!si unaelewa tena masuala ya Gender Sensitive!!!
 
Orait....ngoja niangalie uwezakano wa kumpiga ban yeye....ubinafsi marufuku...

Banned Maxence Mello
Reason: Selfishness!

Aisee leo sijui kama ntapona leo
 
Banned Maxence Mello
Reason: Selfishness!

Aisee leo sijui kama ntapona leo

Leo nakupiga ofa ya vice roy......nambie ulipo nije kulipa.......
Banned: G Why & Family....
 
Happy birthday Kimey.Hongera kwa kufikisha umri ulionao.Ungekuwa mdada ningekufanyia pati,ha ha ha!si unaelewa tena masuala ya Gender Sensitive!!!
Ahsante Regia! Yaani nimekosa part hivihivi kisa baby boy lol. Maumivu yangu haya ni sawa na Sita aliponyimwa Uspika kisa mwanamume!
 
Leo nakupiga ofa ya vice roy......nambie ulipo nije kulipa.......
Banned: G Why & Family....

Hahahahahah
My right eye has scandalised me......
 
Ahsante Regia! Yaani nimekosa part hivihivi kisa baby boy lol. Maumivu yangu haya ni sawa na Sita aliponyimwa Uspika kisa mwanamume!

Hahahahah,.....unaamsha vilivo lala wewe
 
Ahsante Regia! Yaani nimekosa part hivihivi kisa baby boy lol. Maumivu yangu haya ni sawa na Sita aliponyimwa Uspika kisa mwanamume!

Pole ndio mambo ya dunia hayo.Siku hizi watu tunafanya mambo kwa kuangalia jinsia..Uspika,u...... na hata birthday parties hi hivyo hivyo.Basi tena umekosa keki ya Mlimani City..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…