aaamyn, Allah aitikie dua yako kaka, shukran sanaOooh! Hope sijachelewa, nami nichukuwe fursa hii kumtakia kila la kheir Madame S katika siku yake hii muhimu sana ya kuzaliwa kwaku
Mwenyezi Mungu Amuwepesishie majambo yake na ampe umri mtefu katika afya njema
hahaha bas tu namkomoa halaf namwambia babe bahati mbaya leo meteleza atakula tu😂😂😂kisaaa????
Inshaallah tuko pamoja sisteraaamyn, Allah aitikie dua yako kaka, shukran sana
bas leta kebab bae sawa?hatubishani tunaekana sawa sweet love
Na anavyokupendaa...wallah atakula hadi sahani uliyomwekea huo ubwabwahahaha bas tu namkomoa halaf namwambia babe bahati mbaya leo meteleza atakula tu
Anaonekana tuu...umejua kuchagua mashAllahhalafu my babe jikoni yuko vizuri
kuna tofaut gan kat ya wali na ubwabwa baeubwabwa babe
santeee asante mnooHappy birthday babe yake Archiduke, more life to youu
nyie endeleni kunijaza sifa wallahAnaonekana tuu...umejua kuchagua mashAllah
ndio nini