Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
aaamyn, Allah aitikie dua yako kaka, shukran sanaOooh! Hope sijachelewa, nami nichukuwe fursa hii kumtakia kila la kheir Madame S katika siku yake hii muhimu sana ya kuzaliwa kwaku
Mwenyezi Mungu Amuwepesishie majambo yake na ampe umri mtefu katika afya njema