Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Nakwambia kweliii...kuwa madam sio lelemamanyie endeleni kunijaza sifa wallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia kweliii...kuwa madam sio lelemamanyie endeleni kunijaza sifa wallah
Namshukuru Mungu bwana shemeji uzima upo sijui wewe hukonafurahi kukuona hapa shemeji
uzima upo lakini?
bokoboko hutakula???nakunywa maji nalala babe
kha!! Subiri nitakapokutokotoea utaelewa nn nasemea hunhalafu my babe jikoni yuko vizuri
wapemba na bokoboko nani kakwambia beb??? Kule mchele wao umesimama kama basmati yan usipoangalia unautoa mbichi halaf na mchuzi wao kama juisi ha ha haumesikia me mpemba?? utakula mwenyewe
leo una heshimaMungu anasaidia bwana shemeji, tunashukuru
najitahidi tu, japo napenda sana kupika hahaha asante momNakwambia kweliii...kuwa madam sio lelemama
niambie tenanishakuambiaga kuhusu babe hukunielewa siku ile??
na nani mwenzio beb??tutakula hun
Basi endelea kusherehekea siku ya kuzaliwa Madame kwa kula na kunywa kwa saa hizi chache zilizosalia kabda siku nyingine haijaingia hapo sita usikuMungu anasaidia bwana shemeji, tunashukuru
😘😘furahia siku yako mamii..najitahidi tu, japo napenda sana kupika hahaha asante mom
unatukimbia kaka?Basi endelea kusherehekea siku ya kuzaliwa Madame kwa kula na kunywa kwa saa hizi chache zilizosalia kabda siku nyingine haijaingia hapo sita usiku
shukran mam nimefrah😘😘furahia siku yako mamii..
mefanyajewe haya tu