Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.
Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.
kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.