Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.

Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.

kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.
 
Naambiwa jana watu wakujitoa utu , hata kuuza utu wao inaongozeka ,kisa uchawa kuweni makini
 
birthday njema kwake, iwe heri kwake katika mambo yote haswa ya kiuongozi, ajaliwe kutembea katika ndoto na matarajio ya wananchi wengi ambayo yeye ndie aliye beba dhamana yake kwa wakati huu.
hajawa kiongozi jana wala kesho kwa sababu zamu yake ni leo.
 
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.

Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.

kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.
Happy Birthday Madame President Dr Samia Suluhu Hassan
 
Kwa wakazi wa dar es salaam shuguli itaanzia pale the wave mida ya saa tano asubuhi na baada ya hapo tutakuwa tunaelekea MBUDYA.

Kwa kweli kama kijana unahitaji kupata koneksheni kukutana na watu tofauti si ya kukosa hii.

Mdogo wangu spencer minja atakuwepo kutoa maelekezo mawasiliano unaweza kumfikia kwa mitandao yake ya kijamii.
Hongera mheshimiwa raisi kwa kuongeza mwaka juu ya uso wa dunia.❤️
 
Kuna nn kwan huko?
 
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.

Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.

kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.
Wa wapi?
 
MC wa mwaka juzi kaapishwa kawa ze boss zaidi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom