Daah muombe radhi!Machawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
No need for apology he deserve that!Daah muombe radhi!
NakaziaMachawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
Naambiwa jana watu wakujitoa utu , hata kuuza utu wao inaongozeka ,kisa uchawa kuweni makiniNianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.
Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.
kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.
NakaziaMachawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
Naunga mkono hojaNakazia
Naunga mkono hojaLolote limkute
Happy Birthday Madame President Dr Samia Suluhu HassanNianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.
Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA SAMIA, 63 KUTIMIZA.
kesho kula keki yako, na wala isikukwame,
iwe njema siku yako, nayo shangwe isimame,
Tanzania Nchi yako, wote tunakupa shime,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIA.
Kuna nn kwan huko?Kwa wakazi wa dar es salaam shuguli itaanzia pale the wave mida ya saa tano asubuhi na baada ya hapo tutakuwa tunaelekea MBUDYA.
Kwa kweli kama kijana unahitaji kupata koneksheni kukutana na watu tofauti si ya kukosa hii.
Mdogo wangu spencer minja atakuwepo kutoa maelekezo mawasiliano unaweza kumfikia kwa mitandao yake ya kijamii.
Hongera mheshimiwa raisi kwa kuongeza mwaka juu ya uso wa dunia.❤️
Wa wapi?Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,