Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Dina dina dina sitaki chambwa wima mimi nmeshakuambia jamani!! Its not good kumzungumzia kwenye upupu wangu jamani! Ebu niulize kuhusu other aspects of life basi! Au kama ni mahusiano iwe upande wangu usimuhusishe mkaka wawatu jamani hivi unataka nilie lol! Nimemkosea sana vyakutosha
Ulichokosea kuweka mahusiano yako Jf kwani ingekuwa sirini huko Walimwengu wangeuliza uzuri"CC"
 
Aiseee inauma....

Yaani unaacha manzi wote na kuamua kumuweka ndani mmoja baada ya KUSULUBIKA vya kutosha afu baharia anamegewa vile atakavyo...akituma SMS tu..."watu wamo" daah so sad ha ha ha
Hahhahahahha...Life is not fair.
Kutokuchapiwa inabidi mke awe mlokole tu [emoji23][emoji23][emoji23]...Hawa wa Digitali ni noma.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom