Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Diadomo.mbona kakonda...
Kweli ya ngoswe muachie ngoswe
 
Hahahahaha leo ninalo watu saba wananichangia ka mtu kamoja hahahhaa. Fatilia interviews za mastaa wengi wamechoropoa mimba kisingizio bado wadogo. Saiv wanategesha tu ili wazae. Zari always be zari
IKIKUUMA MEZA WEMBE
Tema mate chini we Dada eti bila zari wangeendelea kuchoropoa we kama ulichoropoa usidhani na wote walifanya hivyo...naona zari unamwabudu Haswa hadi unadiriki kusema eti bila yeye who is she bytheway
 
Amemnyoosha kimtindo.
Alafu ule mdomo ndio botox sijui...masindano ya kukuza lips zimekuwa kama za Kyle.
Hahahaha nakymbuka alimpost kumwambia happy women's day tar 8/9 akamwambia I can't for the big day ya birthday kumbe anakuja kumuonyesha mtoto Diamond ni nyoko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amemnyoosha kimtindo.
Alafu ule mdomo ndio botox sijui...masindano ya kukuza lips zimekuwa kama za Kyle.
 
Beautiful with brain happy birthday [emoji322][emoji512][emoji320][emoji323][emoji324]
 
Reactions: nao
Good point
 
Alafu tukishaacha akaitwa zari wewe utafaidika nini?
 
MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?

MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
Brother naona hadi unanibadilisha jinsia kisa zari duh!
 
Hahahahaha leo ninalo watu saba wananichangia ka mtu kamoja hahahhaa. Fatilia interviews za mastaa wengi wamechoropoa mimba kisingizio bado wadogo. Saiv wanategesha tu ili wazae. Zari always be zari
IKIKUUMA MEZA WEMBE
Hahaha haya bana ila wembe simezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…