Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Katika hali isiyotarajiwa na wengi,Diamond na Zari wameonyesha kuwa wapo pamoja katika shida na raha,hiyo imethibitishwa jana kwenye sherehe fupi ya birthday party ya Zari jana,licha ya kuwa siku chache zilizopita kumekuwa na tetesi huenda wawili hao wakamwagana kutokana na Diamond kumsaliti Zari kwa kuzaa na Mwanamitindo Hamisa Mobeto.
AMA KWELI USIUSEMEE MOYO


Diadomo.mbona kakonda...
Kweli ya ngoswe muachie ngoswe
 
Hahahahaha leo ninalo watu saba wananichangia ka mtu kamoja hahahhaa. Fatilia interviews za mastaa wengi wamechoropoa mimba kisingizio bado wadogo. Saiv wanategesha tu ili wazae. Zari always be zari
IKIKUUMA MEZA WEMBE
Tema mate chini we Dada eti bila zari wangeendelea kuchoropoa we kama ulichoropoa usidhani na wote walifanya hivyo...naona zari unamwabudu Haswa hadi unadiriki kusema eti bila yeye who is she bytheway
 
Amemnyoosha kimtindo.
Alafu ule mdomo ndio botox sijui...masindano ya kukuza lips zimekuwa kama za Kyle.
Hahahaha nakymbuka alimpost kumwambia happy women's day tar 8/9 akamwambia I can't for the big day ya birthday kumbe anakuja kumuonyesha mtoto Diamond ni nyoko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amemnyoosha kimtindo.
Alafu ule mdomo ndio botox sijui...masindano ya kukuza lips zimekuwa kama za Kyle.
 
Beautiful with brain happy birthday [emoji322][emoji512][emoji320][emoji323][emoji324]
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wana wivu,wengi ni single mama ambao hawajakubali kuwa ni single huku wakimwona mwenzao mwenye watoto zaidi ya watatu akipata mwanaume mwingine na kuendelea maisha bila kutetereka

Kuwa single mom sio dhambi ila stress ni pale ambapo mtu anapoachika kisha anakosa pa kuanzia,akichungulia insta ya zari anachukia zaidi kuona mwenzie yupo juu kimaendeleo
Good point
 
Leta,halafu mmekazania zari kujisugua kwa maplastic wakati wenginee wanajisugua hata kwa matango na ndizi aiseeee,watu wanasagana na kukoboana sembuse dildo,wimbo wenu umepitwa na wakati

Tukiwa upande wa zari oohoo mnamshobokea zari,mlitaka tumshobokee nani sasa. Bila zari wasichana wengi wa kibongo wangeendelea kuchoropoa mimba,bila zari insta kusingekua na accounts za watoto wa madada wa kibongo

ACHENI ZARI AITWE ZARI BANA
Alafu tukishaacha akaitwa zari wewe utafaidika nini?
 
MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?

MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
Brother naona hadi unanibadilisha jinsia kisa zari duh!
 
Kwa hiyo wewe umeshaona Nillan si mtoto wa Nasib? Hata Tiffa mlisema hivyo hivyo. Wapumbavu.

Hakukwambia kwamba alikwenda kulala na mtoto wake baada ya kuzaliwa? Hakukuambia kwamba yeye alikataliwla na baba yake na akaona uchungu ambao hataki mtu mwingine aupate?

What do you want to say bitch supporter?

BTW, I have cleared it out. Tafuteni nyumba nyingine na kuvuruga na Zari mmekwama!, Mbona huelewi wewe unalazimisha tu na malaya wako?

Kupeleka mbuzi wewe hukuelewa maana yake nini?

Kam akila kitu huelewi, bila shaka una matatizo yako ya ufahamu ambayo nadhani yamekusumbua ndiyo sababu hata elimu ya darasani ni mateso kwako.

KWA UFUPI, I DO NOT HAVE TIME WITH LOW PEOPLE WHO DO NOT KNOW THEIR STATUS. TAFUTA MWINGINE. SINA NAFASI YA KUBISHANA NA WATU WA KIWANGO CHAKO.[/QUOT

umetoa povu hadi udongo. huna kazi ya kufanyaa njoo nikuajiri maana sio kwa povu hili kha.
 
Hahahahaha leo ninalo watu saba wananichangia ka mtu kamoja hahahhaa. Fatilia interviews za mastaa wengi wamechoropoa mimba kisingizio bado wadogo. Saiv wanategesha tu ili wazae. Zari always be zari
IKIKUUMA MEZA WEMBE
Hahaha haya bana ila wembe simezi
 
Back
Top Bottom