Katika hali isiyotarajiwa na wengi,Diamond na Zari wameonyesha kuwa wapo pamoja katika shida na raha,hiyo imethibitishwa jana kwenye sherehe fupi ya birthday party ya Zari jana,licha ya kuwa siku chache zilizopita kumekuwa na tetesi huenda wawili hao wakamwagana kutokana na Diamond kumsaliti Zari kwa kuzaa na Mwanamitindo Hamisa Mobeto.
AMA KWELI USIUSEMEE MOYO
Diadomo.mbona kakonda...
Kweli ya ngoswe muachie ngoswe