suleiman omary
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 257
- 49
Aaaah lolwakati wa uchaguzi mange alikuwa ccm,wakati wa sakata la madawa ya kulevya ambalo limeanzishwa na makonda ameanza kutapatapa,mara achome kadi ya ccm mara amehania chama anachojua.je huyu ni popo?mpaka sasa mm amenichanganya ana masirahi gani wapi?
Mmmh kaka mange kachoma kadi yake ya ccm kabla hata makonda hajaanza kuropoka kuhusu madawa......Hata kama unamchukia mtu usimsingiziewakati wa uchaguzi mange alikuwa ccm,wakati wa sakata la madawa ya kulevya ambalo limeanzishwa na makonda ameanza kutapatapa,mara achome kadi ya ccm mara amehania chama anachojua.je huyu ni popo?mpaka sasa mm amenichanganya ana masirahi gani wapi?
Kuna mtu maarufu humu jf na mkubwa tu mkoani kwake, alijipa Kazi ya uaskari akadhaminiwa tour na kampuni fulani kwenda France lkn akaamua kupita USA ili amkamate Mange, na kwa vile wewe uko kwenye list ya wanaolipwa na MTU huyo kumsafisha muulize atakwambia Mange ni nani!?Hivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Woman of steel.Woman of still
sawa makonda ameanza vita ya madawa kabla ya hapo alikuwa wapi kutaja mambo ya vyeti?anamkela nini ?Mmmh kaka mange kachoma kadi yake ya ccm kabla hata makonda hajaanza kuropoka kuhusu madawa......Hata kama unamchukia mtu usimsingizie
Nikupe namba yake ya whatsapp umuulize? ....Au tayari una majibu yako mwenyewe?sawa makonda ameanza vita ya madawa kabla ya hapo alikuwa wapi kutaja mambo ya vyeti?anamkela nini ?
Wewe unapotea Kwa kukosa maarifaKuna mtu maarufu humu jf na mkubwa tu mkoani kwake, alijipa Kazi ya uaskari akadhaminiwa tour na kampuni fulani kwenda France lkn akaamua kupita USA ili amkamate Mange, na kwa vile wewe uko kwenye list ya wanaolipwa na MTU huyo kumsafisha muulize atakwambia Mange ni nani!?
Nyinyi ni mifano ya watu waliopotea Kwa kukosa maarifa.. Hahaha mnamwamini Mange halafu mna jinsia ya kiume.. Acheni uzembe.. Amkeni.fikirieni hata kidogoo tuNamkubali sana huyu dada,paul na babake wanamjua vizuri sana kama nyie wakata viuno wa lumumba hamumjui
Hbd mange.... Najifunza vitu vingi kupitia ww.....!!!
Wanafki wa JF be like "Who is mange?"......Wakati insta kaweka hadi post notification ON
yamekuwa hayo!!! hilo ndiyo jibu? sijaomba no mm.Nikupe namba yake ya whatsapp umuulize? ....Au tayari una majibu yako mwenyewe?