haahhahWanafki wa JF be like "Who is mange?"......Wakati insta kaweka hadi post notification ON
Hahahaa kiroho swafiiii Happy Birthday Mama watatuuHappy birthday to you super woman all the way from USA, mama kenzo, mama bhoke na mama kaenu aka ex Muke ya Muzungu, I wish you a long life dada ake, kiboko ya bashite, lol
Sema nene mbea mwenzangu? Ebu mpunzishe kidogo bashite sio kwa povu lile lol, enjoy your day mange
Angalia usijing'ate ulimi si kwa unafiki huo yaaani humjui kabisa mimi kwa mtu ambaye hanishughulishi wala simjui huwa sihangaiki kusoma au kufuatilia comments zake sasa nakuuliza hiviii baba kayaii umefikaje huku? Au umepigwa na radi ukajikuta uko pande hii hembu utupisheHivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Umejuaje kama wewe si mfuasi watu bwanaaAmeañza kuishi kama shetani sasa!!