Happy birthday Mange Kimambi

Happy birthday Mange Kimambi

Happy birthday Mange wewe ni mwanamke shujaa sana kama tungepata wakina Mange Kumi dooonh ingekuwa raha nakupenda sana Mange sema nini ungekuwa yaani umetulia kidogo ungekuwa influential sana sema ndo hivyo tena Mange wangu hayo ndo maisha uliyoyachagua...Mungu atimizd haja z moyo wako I luv uuuu
 
Happy Birthday kubwa la maadui kiboko ya Bashite.
 
Kama unasema humjui Mange Kimambi na wewe unatumia mitandao ya kijamii, jambo la haraka linalojionesha ni kwamba wewe ama ni mshamba au una ujinga wa kudhani kwamba unapopingana na watu maarufu hadharani na wewe unakuwa maarufu!!
 
happy birthday mama divorce at 40! toka umeanzisha bashite kampeni nakupendaje? love you mama kenzo!
 
Happy birthday to you super woman all the way from USA, mama kenzo, mama bhoke na mama kaenu aka ex Muke ya Muzungu, I wish you a long life dada ake, kiboko ya bashite, lol

Sema nene mbea mwenzangu? Ebu mpunzishe kidogo bashite sio kwa povu lile lol, enjoy your day mange
8dccc4f9efb88a1831523e0df1afd9c9.jpg
Hahahaa kiroho swafiiii Happy Birthday Mama watatuu
 
Hivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Angalia usijing'ate ulimi si kwa unafiki huo yaaani humjui kabisa mimi kwa mtu ambaye hanishughulishi wala simjui huwa sihangaiki kusoma au kufuatilia comments zake sasa nakuuliza hiviii baba kayaii umefikaje huku? Au umepigwa na radi ukajikuta uko pande hii hembu utupishe
 
Back
Top Bottom