Happy birthday Mange Kimambi

Happy birthday Mange Kimambi

usishangae first lady tz kila mtu ni super star ila mradi kuna jambo ulifanya na watu wakakuona hata yule jamaa aliyelia kwenye game ya yanga na simba ni SUPERSTAR!

DUH asante kwa kunielewesha
 
Hata na mie ni mbunge mtarajiwaa,,pale Nyamaganaa!!!!!!!
 
Hivi Sintah ni supa staa??:help:

Sinta anafahamika bwana , huwez kumfananisha na mange au wema sepetu wameanza kufahamika juzi. siku za nyuma sintah alikuwa sintah kweli kweli, nani alikuwa hamjui sintah kipindi kile yupo kaole? Nani alikuwa anapamba magazeti miaka ile? Nani alikuwa staa kama sintah miaka ile? Sema ndo ivo kipindi chake kimeisha zamu ya kina wema now..maana yangu ni kwamba mange amefahamika kupitia mastaa wa fani mbali mbali apa mjni
 
dah! wabongo bana halafu mnataka succes kama lupita nyongo kiukweli tutaendelea kuwa maskini mpaka mwisho eti mtu aliyefahamika kupitia blogs ya matusi na yule na mtangazaji wa radio katika kipindi cha harusi anataka kugombea ubunge!!!!!!!!!! na mimi nitatangaza nia.

Yes mange kapata umaarufu baada ya kuwa na mabifu na mastaa , plus kuolewa na muzungu kumezidi kumuongezea umaarufu kibao, especially wadada wa mjuni wenye ndoto za kuolewa na wazungu , blog yake pia ime play role kumfanya afahamike sana, kwani amekuwa akitumia blog hyo kutukana na ma celebrity
 
asante kwa kuwa mkweli warumi nimtashauri siste atafute bwana mzungu awe SUPERSTAR!
 
ha! ha! naona mchungaji unaingia kwenye siasa sasa but sio mbaya tumpe sampoti dada yetu!

Siku nyingi mbona?

Nasubiri nimwezeshe ili aweze

si unajua wanawake wakiwezeshwa wanaweza?
 
Back
Top Bottom