Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Hivi Sintah ni supa staa??:help:
usishangae first lady tz kila mtu ni super star ila mradi kuna jambo ulifanya na watu wakakuona hata yule jamaa aliyelia kwenye game ya yanga na simba ni SUPERSTAR!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Sintah ni supa staa??:help:
usishangae first lady tz kila mtu ni super star ila mradi kuna jambo ulifanya na watu wakakuona hata yule jamaa aliyelia kwenye game ya yanga na simba ni SUPERSTAR!
Watu wengine ni wa kuwahurumia tu binamu, maskini kapata ban kumbe duh
DUH asante kwa kunielewesha
safari hii kila mtu atakuwa mbunge hakyanani.
hadi yule anaeongeaga sauti za kitandani akiwa redioni nae eti anataka ubunge.
hahaa ngoja na mie nitangaze nia kwa kweli
hahaa ngoja na mie nitangaze nia kwa kweli
Hivi Sintah ni supa staa??:help:
dah! wabongo bana halafu mnataka succes kama lupita nyongo kiukweli tutaendelea kuwa maskini mpaka mwisho eti mtu aliyefahamika kupitia blogs ya matusi na yule na mtangazaji wa radio katika kipindi cha harusi anataka kugombea ubunge!!!!!!!!!! na mimi nitatangaza nia.
Yes mange kapata umaarufu baada ya kuwa na mabifu na mastaa , plus kuolewa na muzungu kumezidi kumuongezea umaarufu kibao, especially wadada wa mjuni wenye ndoto za kuolewa na wazungu , blog yake pia ime play role kumfanya afahamike sana, kwani amekuwa akitumia blog hyo kutukana na ma celebrity
viti maalum vp?
Nataka ya kugombea kabisa jimboni
jimbo gani sasa?
hahahaaa uwe campaign manager wangu pls
ewaaaaa ushindi lazimaaa
hahaa ngoja na mie nitangaze nia kwa kweli
Nipo tayari kukupa support
ha! ha! naona mchungaji unaingia kwenye siasa sasa but sio mbaya tumpe sampoti dada yetu!