Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Kaangalie game ya Man City na FCB halafu njoo hapa uniambie Messi hana skills gani


Ingia youtube kisha andika Ronaldinho, na hapo ndo utagundua sisi tunazungumzia ya mbinguni wewe unatueleza ya Duniani.
 
Mkuuu Hakika nakubaliana nawe kuwa Gaucho alikuwa wa kipeke, na sa hivi hawa watu wawili Mess na Ronaldo wanakuzwa sana kutokana na ukweli kuwa kwa sasa hakuna watu wengi wenye vipaji vya kutisha na ndio maana naamini wataendelea kukaa katika vinywa vya watu kwa mwaka ujao tena. Binafsi Sitaki kuamini mtu kucheza zama moja na watu kama Zidane, Ronaldinho, Del Piero, Rivaldo Ronaldo de Lima na wengineo wengi tu halafu katika kipindi cha miaka takribani sita au saba unawasikia watu wawili tu na mmoja eti anachukua tuzo mara nne.
Yote kwa yote Ronaldinho Gaucho ni wa kipekee.

Yote kwa yote Dinho Magic alibeba tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia kipindi kile wachezaji timamu wapo weengi mno ila hawa ushuzi wao wapo wawili tu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Huyu mtu mm sijawahi kumsikia kuwa haitakaa itokee? Ana sifa zipi chenga zipi alizowahi zitoa, magoli yapi kama ya
  • Maradona
  • Dos Nascumento
  • Garincha
  • Eusabio

Hao uliowataja wana chenga...ila Dinho magic ana skills na ndio maana anaweza kupokea mpira kwa mgongo na viungo vingine vya mwili...

forza Dinho
 
nambie nguli wa soka la ndani...leo ni Yanga ya Tanzania na Mgambo ya Tanga...nini maoni yako?

Hamsa kwa hamsa, Yanga wako vema na wanalazimika kushinda... Mgambo wana mzuka mwingi lakini hawana cha kupoteza.

Utabiri Mgambo 0 - 1 Yanga
 
kaangalie game ya man city na fcb halafu njoo hapa uniambie Messi hana skills gani

Usilete ubishi wa kijina bwana. Mi sikatai messi ni mchezaji hatari zaidi ila ukija kwenye skills za kuchezea mpira dinho atabaki kuwa kwenye status yake
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
No one like dino mbingu na ardhi vinatetemeka, eti ho mess eti ho ronaldo
 
Tukiwa wakweli na kuweka mapenzi pembeni, Messi anaujua mndinga, Zizzou anaujua, Ronaldo yuko poa ila Dinho ni fundiiiii, skills zake ni hatari sijaona bado.
 
Naamini wengi mmecheza mpira kama b5-click.. Na mtakubaliana na Mimi kwamba, UKITOA MBWEMBWE ZA DINHO ZA KUUCHEZEA MPIRA DINHO HAMFIKII MESSI KWA LOLOTE JINGINE...

Je dinho anamfikia MESSI kwa
Ufungaji magoli
Tuzo za Ballon d'Or
Assist
Msaada kwa timu

Zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za MESSI..

1. Balloon d'Or 4times
2. Player with most goals at halfway stage of La Liga.. Messi 22goals
3. FC Barca player that have won Uefa golden boot.. Messi 3times
4. Only player in history of club to score in 6 official competition
5. Top goal scorer in international competition

Mwanangu ananikumbusha mchezaji aliyewapiga matobo mengi city. Messi

Hahahahahah! Hongera kwa kutimiza 35 mshikaji wetu Gaucho
 
Last edited by a moderator:
Sishangai wengi kumsifu Messi na CR7, ni matunda ya kukua kwa teknolojia miaka hii 10 iliyopita. Wengi wamemuona Zidane, Rivaldo, Del Pierro, Dinho and the likes mwishoni kabisa mwa carrier zao.
Vibanda umiza vyote vina Nesi na CR7.

Angekuwepo huyu nabii Dinho au wangebahatika kumuona wangekiri ukweli huo. Kwenye dini zetu MITUME wetu ni YESU KRISTO na MUHAMMAD ( SAW) wengine ni waigizaji. Kwenye soka ni DINHO hao wengine mnaowataja ni waamini wake.

Forza Dinhooooooo
 
Naamini wengi mmecheza mpira kama b5-click.. Na mtakubaliana na Mimi kwamba, UKITOA MBWEMBWE ZA DINHO ZA KUUCHEZEA MPIRA DINHO HAMFIKII MESSI KWA LOLOTE JINGINE...

Je dinho anamfikia MESSI kwa
Ufungaji magoli
Tuzo za Ballon d'Or
Assist
Msaada kwa timu

Zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za MESSI..

1. Balloon d'Or 4times
2. Player with most goals at halfway stage of La Liga.. Messi 22goals
3. Fc barca player that have won Uefa golden boot.. Messi 3times
4. Only player in history of club to score in 6 official competition
5. Top goal scorer in international competition

Mwanangu ananikumbusha... Mchezaji aliyewapiga matobo mengi city.. Messi

Hahahahahah! Hongera kwa kutimiza 35 mshikaji wetu Gaucho

Mkuu mafanikio ya Mpira na uwezo wa kuucheza mpira ni vitu viwili tofauti....uwezo ni kitu binafsi na mafanikio yanchangiwa na timu nzima....tunajua Barca hii aloyowika nayo Mesai mafundo kibao (aikatai uwezo wake)

Lakini pia zama za Dinho zilojaa mafundi siyo kama sasa ukiongelea Ballon unawazungumzia watu wawili tu

Kwa hoja yako basi Luke Chadwick ni best Midfielder zaidi ya Steven Gerrard
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
huyu mtu mm sijawahi kumsikia kuwa haitakaa itokee?? ana sifa zipi chenga zipi alizowahi zitoa, magoli yapi? kama ya

  • Maradona
  • Dos Nascumento
  • Garincha
  • Eusabio

Aaaah aaaaah aaaaah

We mkuu unatisha.. Maradona, Pele, Garincha na huyo Mreno ni hatari. Binafsi sijawashuhudia ktk zama zao ila kanda za mambo yao nimeziona sana(namshukuru mzee kwa hazina hii)

Messi hahahahahah huyu ni kiumbe wa ajabu dunia hii baada ya hao wakali kuacha gozi la ng'ombe.

Mpira ni MBWEMBWE NA USHINDI, MESSI ANAJUA YOTE HAYO
 
Mfalme kutoka Turin Alesandro Del Pierro alipigiwa si makofi tu hapo Bernabeu baada ya kuwafunza mpira Los Blancos bali alisujudiwa na madristas kitambo kabla ya Gaucho

del Piero alishapigiwa makofi barnebeu ( standing ovation mara 2 tofauti).

na vile vile alishapigiwa makofi old trafold na signal oduna park uwanja wa borussia dortumund.

inasemekana ndio mchezaji mwenye discipline kuwahi kutokea duniani..

hajawai kupata redcard for 20 yrs kwenye proffessional football..

a world cup winner, champions league winner, a father, a captain, a fair play role model, juventino forever
.

cv yake si mchezo..
 
Mkuu mafanikio ya Mpira na uwezo wa kuucheza mpira ni vitu viwili tofauti....uwezo ni kitu binafsi na mafanikio yanchangiwa na timu nzima....tunajua Barca hii aloyowika nayo Mesai mafundo kibao (aikatai uwezo wake)

Lakini pia zama za Dinho zilojaa mafundi siyo Kama sasa ukiongelea Ballon unawazungumzia watu wawili tu

Kwa hoja yako basi Luke Chadwick ni best Midfielder zaidi ya Steven Gerrard
Mkuu huoni nilivotofautisha mbwembwe za dihno na uwezo wa messi... Au unamchukulia messi kama yule mchezaji wa Yanga!?

Acha dhambi broo, Gerrard unamfananishaje na Chadwick?
 
Aaaah aaaaah aaaaah

We mkuu unatisha.. Maradona, Pele, Garincha na huyo Mreno ni hatari.. Binafsi sijawashuhudia ktk zama zao ila kanda za mambo yao nimeziona sana(namshukuru mzee kwa hazina hii)

Messi hahahahahah huyu ni kiumbe wa ajabu dunia hii baada ya hao wakali kuacha gozi la ng'ombe..

Mpira ni MBWEMBWE NA USHINDI.. MESSI ANAJUA YOTE HAYO


unaona tofauti sasa...
Nesi ni kiumbe wa ajabu ila Santa Gaucho ni Nabii.
 
Naamini wengi mmecheza mpira kama b5-click.. Na mtakubaliana na Mimi kwamba, UKITOA MBWEMBWE ZA DINHO ZA KUUCHEZEA MPIRA DINHO HAMFIKII MESSI KWA LOLOTE JINGINE...

Je dinho anamfikia MESSI kwa
Ufungaji magoli
Tuzo za Ballon d'Or
Assist
Msaada kwa timu

Zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za MESSI..

1.Balloon d'Or 4times
2.Player with most goals at halfway stage of La Liga.. Messi 22goals
3.Fc barca player that have won Uefa golden boot.. Messi 3times
4.Only player in history of club to score in 6 official competition
5.Top goal scorer in international competition

Mwanangu ananikumbusha... Mchezaji aliyewapiga matobo mengi city.. Messi

Hahahahahah... Hongera kwa kutimiza 35 mshikaji wetu Gaucho

Ballon dor mkuu si kigezo cha mtu kuwa bora angalia Zlatan, Robben,wakina allan shearer walikuwa bora lakini hawajashinda ballon dor, magoli pia sio kigezo cha mtu kuwa bora,angalia career ya Diego Maradona,hakufunga magoli mengi sana ila mpaka leo anaitwa kuwa ni mchezaji bora kupata kutokea duniani, so with me Ronaldinho is better than Messi and Ronaldo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom