Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Pele ameshawahi kusema zidane ndie mchezaji bora kipindi chake


Pele hakuwahi kucheza Ulaya. Hivi bado kuna wtu wanamsikiliza anachoongea?

Kila mwaka wa World cup timu anayoitabiria kubeba ndoo inakuwa ya kwanza kuaga. Huyu alishaishiwa. ni FIFA tu ndio wanambeba.
 
Mtakatifu Dinho, hakuna kama yeye katika ulimwengu wa soka la kiufundi...hata games zote za FIFA kwenye PS na Xbox tricks za uwanjani wamechukua za Mtakatifu....kupiga chenga vijiji Mtakatifu kafanya sana...yaani kila ufundi wa kwenye soka jamaa ashaweka benchmark....ndiyo maana kila mara utasikia 'New Messi', 'New Cristiano', 'New Pele', 'New Maradona', 'New Zidane' n.k. Lakini ni nadra sana kusikia 'New Ronaldinho'. Kwani alichokifanya jamaa uwanjani, ni vigumu mno kufanywa na mtu mwingine...assists alizokuwa akitoa Mtakatifu Nessi na wenzake watasubiri sana....ufundi wa mazoezini, Mtakatifu alikuwa akiufanyia uwanjani kwenye mechi....

Ebu mwangalieni Mtakatifu hapa...shikamoo Mtakatifu Dinho







Asante mkulungwa mwenzangu, umetumia maneno machache lakini yalionona.

Thanx in advance
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Utaniona nina dhambi kwa sababu hujaelewa logic ta hoja yangu....hapa mnaongelea Nazi zaidi na si ufundi (nimekiri toka mwanzo Mesai anaujua mnoo)

Ninachomaaniaha hapa ni hiki, ukiwaambia wengi wakutajie best midfilders kuwahi kutokea watakutajia mfano mtu Kama Xavi and the likes na mbwembwe kibao kabisa lakini si rahisi kuwasikia wakitaja mtu Kama Scholesy....ila wasikie wanaoujua Mpira watakuambia yafuatayo;


"If he was playing with me, I would have scored so many more."

- Pele

"My toughest opponent? Scholes of Manchester. He is the complete midfielder."

- Zinedine Zidane

"Im star-struck when I see Paul Scholes because you never see him. On the pitch you cant catch him. Off the pitch he disappears."

- Luis Figo

"Im not the best, Paul Scholes is."

- Edgar Davids


I want to pass like him. Who taught him how to do that?

- Ronaldinho


"In the last 15 to 20 years the best central midfielder that I have seen the most complete is Scholes. I have spoken with Xabi Alonso about this many times. Scholes is a spectacular player who has everything. He can play the final pass, he can score, he is strong, he never gets knocked off the ball and he doesnt give possession away. If he had been Spanish then maybe he would have been valued more."

- Xavi

"The player in the Premiership I admire most? Easy Scholes."

- Patrick Viera

"An amazingly gifted player who remained an unaffected human being."

- Roy Keane

-"I tell anyone who asks me Scholes is the best English player."

- Laurent Blanc

"I cant understand why Scholes has never won the player of the year award. He should have won it long ago. Maybe its because he doesnt seek the limelight like some of the other stars."

- Thierry Henry

"Paul Scholes had the best football brain Id ever seen in a kid. Lets face it. Paul Scholes is in a class of his own."

- Brian Kidd

"Paul Scholes would have been one of my first choices for putting together a great team."

- Marcello Lippi

"Out of everyone at Manchester United, I would pick out Scholes, he is the best midfielder of his generation. I would had loved to play alongside him."

- Pep Guardiola

"He is the one whose level I aspire to. He is the best player in the Premier League."

- Cesc Fabregas

"At La Masia his name was mentioned a lot. Hes a teacher."
- Lionel Messi

"Nobody else can play the way Paul Scholes does."

- Dimitar Berbatov

"When we were in training, I used to do a lot of tricks which hardly any players at the club could do. Once I was showing my skills to Scholes. After I finished, Scholes took the ball and pointed to a tree which was about 50m from where we were standing. He said, Im going to hit it in one shot. He kicked and hit the tree. He asked me to do the same; I kicked about 10 times, but still couldnt hit it, with that accuracy. He smiled and left."

- Cristiano Ronaldo

"I wouldnt swap Paul Scholes for anybody. He is quite simply the most complete footballer I have ever played with. He is the best."

- Gary Neville

"Best player? For me, its Paul Scholes. Hell do ridiculous things in training like say, You see that tree over there? itll be 40 yards away Im going to hit it. And hell do it. Everyone at the club considers him the best."

- Rio Ferdinand

"I have no hesitation in putting a name to the embodiment of all that I think is best about football. Its Paul Scholes. In so many ways Scholes is my favourite."

- Sir Bobby Charlton

"I think Paul Scholes is the best player in England. Hes got the best skills, the best brain. No one can match him. There isnt a player of his mould anywhere in the world. Paul is irreplaceable."
- Sir Alex Ferguson


NZI kasema Mtakatifu Dinho, hakuna kama yeye katika ulimwengu wa soka la kiufundi hata games zote za FIFA
kwenye PS na Xbox tricks za uwanjani wamechukua za Mtakatifu kupiga chenga vijiji Mtakatifu kafanya sana...yaani kilam ufundi wa kwenye soka jamaa ashaweka benchmark ndiyo maana kila mara utasikia 'New Messi', 'New
Cristiano', 'New Pele', 'New Maradona', 'New Zidane' n.k. Lakini ni huwezi kusikia 'New Ronaldinho'. Kwani alichokifanya
jamaa uwanjani, ni vigumu mno kufanywa na mtu mwingine assists alizokuwa akitoa Mtakatifu Gaucho basi Nessi na
wenzake watasubiri sana ufundi wa mazoezini, Mtakatifu alikuwa akiufanyia uwanjani kwenye mechi.
 
1426982847144_443694.jpeg
 
Anachofanya messi hata Robben anafanya, Hazard ana fanya, ngasa anafanya pia!!

Ila hakuna yeyote anayeweza kufanya kitu Ronaldinho alichofanya!!
 
Chomba kweli umerudi kwa kasi ya kimbunga. Ni ukweli naku-ardmire sana kwa style ya uandishi wako. Kupotea kwako kulisababisha Yale majukwaa yetu kudorora.

R. I P gaucho...ooh sorry
Happy birthday st Gaucho
 
futa povu kwanza...
we unasubiri mtu astahafu ndio aheshimike?
Santa mpaka sasa anakipiga na heshima ipo juu kiasi kwamba mpaka Bongo watu wanakumbuka b'day yake.

mbona b'day ya Nesi inapitaga tu kama ya Benjani Mwaruwaru au ya Romana Lualua?

sasa kama upo timamu kichwani utagundua tofauti
Hahahahahah shughuli ya MESSI itanifuta povu kama lipo,,
 
Nilimshuhudia Gaucho akifanya miujiza uwanjani..
 
Pele hakuwahi kucheza ulaya...
hivi bado kuna wtu wanamsikiliza anachoongea?

kila mwaka wa World cup timu anayoitabiria kubeba ndoo inakuwa ya kwanza kuaga.

huyu alishaishiwa. ni FIFA tu ndio wanambeba.

Pele ni ushuzi, kinapenda kuongea ongea sana kile kigagula, sijui anaexpire lini?
 
hah hah hah hivi unajuwa kuwa kuna tofauti kubwa kati ya busha na shipa?

ok may be nianze na kukutoa tongotongo, ishu ni kuwa huyo Nesi ktk ufungaji magoli pale Barca goli lake la kwanza kufunga alipewa pasi na huyu Nabii wa mwisho. na kama hio haitoshi Nesi anakiri ya kuwa hata kama angefumba macho siku ile basi angeweza kufunga tu.

na ukikazia kuwa mpira unamjuwa Nesi na kumpenda basi unakuwa unachuma dhambi.
saint Gaucho hata ukimpigia shuti la dochi basi mwilini mwake mpira utaganda tu na utatulia.

inaaminika pia kuwa kama mpira ungalikuwa na mdomo ungeomba kila dakika upelekwe kwa Dinho Magic ili akauchezee na kufurahi.

kajipange tena kisha urudi...
Gang Chomba kwa mahaba niue sikuwezi!
 
Last edited by a moderator:
Mtakatifu Dinho, hakuna kama yeye katika ulimwengu wa soka la kiufundi...hata games zote za FIFA kwenye PS na Xbox tricks za uwanjani wamechukua za Mtakatifu....kupiga chenga vijiji Mtakatifu kafanya sana...yaani kila ufundi wa kwenye soka jamaa ashaweka benchmark....ndiyo maana kila mara utasikia 'New Messi', 'New Cristiano', 'New Pele', 'New Maradona', 'New Zidane' n.k. Lakini ni nadra sana kusikia 'New Ronaldinho'. Kwani alichokifanya jamaa uwanjani, ni vigumu mno kufanywa na mtu mwingine...assists alizokuwa akitoa Mtakatifu Nessi na wenzake watasubiri sana....ufundi wa mazoezini, Mtakatifu alikuwa akiufanyia uwanjani kwenye mechi....

Ebu mwangalieni Mtakatifu hapa...shikamoo Mtakatifu Dinho

Mkuu Nzi umemaliza kila kitu

Messi kwa dribbling skills anaweza ila haya mautaalamu ya Dinho na kabumbu mguuni ni hatari

Jamaa anaujua kupita maelezo....
 
Last edited by a moderator:
Sijawai penda mpira kama enzi za dinho. Niikiwa na hasira naangalia video za nabii Dinho nasuuzika
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hatokuja tokea mchezaji kama Gaucho
 
Kinachosikitisha ni kwamba dinho hakuwa kwenye peak yake kwa zaidi ya miaka 4 ... Ila ni ukweli usiopingika kuwa Dinho ni fundi mpira bora kabisa katika karne hii ya 21 tukiachana na masuala ya rekodi sijui mataji , magoli na mengineyo...

Messi atabaki kwnye nafasi yake kama mchezaji hatari zaidi karne hii ila hakuwa na skills na burudani kama za dinho
Hapo mkuu umenena Messi kweli ni mchezaji bora lakini ukija kwenye kuuchezea mpira na mbwebwe aaah GAUCHO namkubali mpaka kesho
 
Back
Top Bottom