Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #101
Mjinga mmoojaaa mpuuzi mmoojaaaaaasiye na akili mmojaaaaa Sijui kala maharage ya wapi yuuule!! amekuja kwenye thread hiiii anaandika upuuziii kumhusu Nabii wa mwisho wa Soka! Nilichukia saana! Amekuwa kama mtoto anayevalishwa pampaz hajui cha kufanya... anabwaya bwaya tuu!! Akome kuanzia leo!!
Wuuuu!! Haya saasa,roho imesuuzika saasa, nimempa vipande vyake saasa! Sijamkopesha,nimempa cash zake saasa!!! Tena sio kwa Installment,nimempa cash! Nimempa vipande vyake saasa!
Weewe unayediriki kuandika upuuzi kwa kumponda Gaucho tena Usiye na akilii unamfananisha Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka na kijitu kifupiii ambacho hakijabeba World cup, kinakimbia kimbia tuni nani aliyekuroga?? Ukooomeeeeeeeeee!!!!!