ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Ukiachana na WC mimi sioni kingine Gaucho anachomzid Messi.
Gaucho ana mbwembwe sana, ila Messi the way anavyodribble ni burudani tosha kabisa sababu hata Gaucho hadrible kama Messi kwa mimi nionavyo.
Harafu Messi anazile chenga zake za kukutisha kama anaenda kushoto au kulia, ukienda upande huu yeye anaenda upande huu.
Hakika Messi namkubali ila kwa hili mkuu hujui unachoandika mazee!! dinho alikua anatoa burudan nying hazipimiki unaambiwa.