Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #41
Kaangalie game ya Man City na FCB halafu njoo hapa uniambie Messi hana skills gani
Mkuuu Hakika nakubaliana nawe kuwa Gaucho alikuwa wa kipeke, na sa hivi hawa watu wawili Mess na Ronaldo wanakuzwa sana kutokana na ukweli kuwa kwa sasa hakuna watu wengi wenye vipaji vya kutisha na ndio maana naamini wataendelea kukaa katika vinywa vya watu kwa mwaka ujao tena. Binafsi Sitaki kuamini mtu kucheza zama moja na watu kama Zidane, Ronaldinho, Del Piero, Rivaldo Ronaldo de Lima na wengineo wengi tu halafu katika kipindi cha miaka takribani sita au saba unawasikia watu wawili tu na mmoja eti anachukua tuzo mara nne.
Yote kwa yote Ronaldinho Gaucho ni wa kipekee.
Huyu mtu mm sijawahi kumsikia kuwa haitakaa itokee? Ana sifa zipi chenga zipi alizowahi zitoa, magoli yapi kama ya
- Maradona
- Dos Nascumento
- Garincha
- Eusabio
nambie nguli wa soka la ndani...leo ni Yanga ya Tanzania na Mgambo ya Tanga...nini maoni yako?
kaangalie game ya man city na fcb halafu njoo hapa uniambie Messi hana skills gani
Hamsa kwa hamsa, Yanga wako vema na wanalazimika kushinda... Mgambo wana mzuka mwingi lakini hawana cha kupoteza.
Utabiri Mgambo 0 - 1 Yanga
ingia youtube kisha andika Ronaldinho...na hapo ndo utagundua sisi tunazungumzia ya mbinguni wewe unatueleza ya Duniani...
Naamini wengi mmecheza mpira kama b5-click.. Na mtakubaliana na Mimi kwamba, UKITOA MBWEMBWE ZA DINHO ZA KUUCHEZEA MPIRA DINHO HAMFIKII MESSI KWA LOLOTE JINGINE...
Je dinho anamfikia MESSI kwa
Ufungaji magoli
Tuzo za Ballon d'Or
Assist
Msaada kwa timu
Zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za MESSI..
1. Balloon d'Or 4times
2. Player with most goals at halfway stage of La Liga.. Messi 22goals
3. Fc barca player that have won Uefa golden boot.. Messi 3times
4. Only player in history of club to score in 6 official competition
5. Top goal scorer in international competition
Mwanangu ananikumbusha... Mchezaji aliyewapiga matobo mengi city.. Messi
Hahahahahah! Hongera kwa kutimiza 35 mshikaji wetu Gaucho
huyu mtu mm sijawahi kumsikia kuwa haitakaa itokee?? ana sifa zipi chenga zipi alizowahi zitoa, magoli yapi? kama ya
- Maradona
- Dos Nascumento
- Garincha
- Eusabio
Mfalme kutoka Turin Alesandro Del Pierro alipigiwa si makofi tu hapo Bernabeu baada ya kuwafunza mpira Los Blancos bali alisujudiwa na madristas kitambo kabla ya Gaucho
Mkuu huoni nilivotofautisha mbwembwe za dihno na uwezo wa messi... Au unamchukulia messi kama yule mchezaji wa Yanga!?Mkuu mafanikio ya Mpira na uwezo wa kuucheza mpira ni vitu viwili tofauti....uwezo ni kitu binafsi na mafanikio yanchangiwa na timu nzima....tunajua Barca hii aloyowika nayo Mesai mafundo kibao (aikatai uwezo wake)
Lakini pia zama za Dinho zilojaa mafundi siyo Kama sasa ukiongelea Ballon unawazungumzia watu wawili tu
Kwa hoja yako basi Luke Chadwick ni best Midfielder zaidi ya Steven Gerrard
Aaaah aaaaah aaaaah
We mkuu unatisha.. Maradona, Pele, Garincha na huyo Mreno ni hatari.. Binafsi sijawashuhudia ktk zama zao ila kanda za mambo yao nimeziona sana(namshukuru mzee kwa hazina hii)
Messi hahahahahah huyu ni kiumbe wa ajabu dunia hii baada ya hao wakali kuacha gozi la ng'ombe..
Mpira ni MBWEMBWE NA USHINDI.. MESSI ANAJUA YOTE HAYO
hivyo vyenga hamkuti hata okocha
Naamini wengi mmecheza mpira kama b5-click.. Na mtakubaliana na Mimi kwamba, UKITOA MBWEMBWE ZA DINHO ZA KUUCHEZEA MPIRA DINHO HAMFIKII MESSI KWA LOLOTE JINGINE...
Je dinho anamfikia MESSI kwa
Ufungaji magoli
Tuzo za Ballon d'Or
Assist
Msaada kwa timu
Zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za MESSI..
1.Balloon d'Or 4times
2.Player with most goals at halfway stage of La Liga.. Messi 22goals
3.Fc barca player that have won Uefa golden boot.. Messi 3times
4.Only player in history of club to score in 6 official competition
5.Top goal scorer in international competition
Mwanangu ananikumbusha... Mchezaji aliyewapiga matobo mengi city.. Messi
Hahahahahah... Hongera kwa kutimiza 35 mshikaji wetu Gaucho