Timu ya taifa hakuwepo yeye tu, walikuwepo wengi akina rivaldo, ronaldo, roberto carlos na kaka. So ile inajumuisha timu nzima/Whole team efforts na sio personal effort ndio maana ya team work, ukilinganisha na clubs kila mchezaji huwa anaonyesha uwezo wake binafsi "individual capabilities" hata timu ikizidiwa yeye ndie huamua matokeo mjomba. Messi na Maradona hakuna wa kulinganishananao, hawa ni dhahabu, kuwapata mfano wa hawa wasumbufu itachuka maelfu ya miaka. kule napoli hawatamshau maradona, sema tu kwakuwa ni weupe mtaleta kila aina ya figisu mara oh kombe la dunia messi hana, mara sijui nini! Visababu vya kijingajinga visivyokuwa na maana yoyote.
But ukweli mnaujua. Sasa kama ndio kigezo kombe la dunia, basi hawa pia ni bora more than Messi[emoji1542]Iniesta, xavi, torres, ramos, bosquets, alba, mbappe, kante, dembele, griezman, varane na giroud, Muller, gotze, boateng n.k Sindio!!!!
Haya Naomba takwimu zake katika hizo timu alizopitia huyo gauchoi wako ambae hata kwa zidane hafui dafu, na mimi nitaweka mpaka Ballon d'ore na all records in general za Messi ambazo hakuna binadamu aliezifikia. Weka hapa[emoji1541]