Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Umepata wapi ujasiri wa kumpa unabii? Nyie ndio mnakufuru kabisa, au naongea na mtu asieamini uwepo wa Mungu, na Manabii wa Mwenyezi Mungu.

Kama gaucho unampachika unabii, je Maradona na Messi tuwaiteje [emoji41]coz these guys wanaitwa Mungu wa mpira, binafsi siwezi na sitaweza kumpa binadamu jina la Mungu au unabii.
Siku ukiamua kujifunza utaelewa ni namna gani maneno "nabii " au "god " yanaweza kutumika nje ya muktadha wa dini.
 
Naomba mafanikio yake ndani ya PSG, Barcelona, na AC MILAN kwa miaka aliotumikia. Halafu compare na fundi Lapulga kwa miaka aliotumikia FC BARCELONA
Mafanikio makubwa kabisa ni World Cup, huyu Messi kachukua mara ngapi?
 
Timu ya taifa hakuwepo yeye tu, walikuwepo wengi akina rivaldo, ronaldo, roberto carlos na kaka. So ile inajumuisha timu nzima/Whole team efforts na sio personal effort ndio maana ya team work, ukilinganisha na clubs kila mchezaji huwa anaonyesha uwezo wake binafsi "individual capabilities" hata timu ikizidiwa yeye ndie huamua matokeo mjomba. Messi na Maradona hakuna wa kulinganishananao, hawa ni dhahabu, kuwapata mfano wa hawa wasumbufu itachuka maelfu ya miaka. kule napoli hawatamshau maradona, sema tu kwakuwa ni weupe mtaleta kila aina ya figisu mara oh kombe la dunia messi hana, mara sijui nini! Visababu vya kijingajinga visivyokuwa na maana yoyote.

But ukweli mnaujua. Sasa kama ndio kigezo kombe la dunia, basi hawa pia ni bora more than Messi[emoji1542]Iniesta, xavi, torres, ramos, bosquets, alba, mbappe, kante, dembele, griezman, varane na giroud, Muller, gotze, boateng n.k Sindio!!!!



Haya Naomba takwimu zake katika hizo timu alizopitia huyo gauchoi wako ambae hata kwa zidane hafui dafu, na mimi nitaweka mpaka Ballon d'ore na all records in general za Messi ambazo hakuna binadamu aliezifikia. Weka hapa
[emoji1541]
Mwanzoni nilidhani una hoja nzuri kumbe ni ujinga mtupu, eti timu ya taifa ni uchezaji wa timu nzima ila club ni suala la mchezeji mmoja mmoja.
 
Yote kwa yote Dinho Magic alibeba tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia kipindi kile wachezaji timamu wapo weengi mno ila hawa ushuzi wao wapo wawili tu.
Enzi za Dinho tuzo walipokezana mastaa, sio kama kina Messi na Ronaldo.

Dinho alikuwa ni hatari sana!
IMG_20200430_203129.jpg
 
Happy birthday to the greatest magician of all times

Kwa wale tuliobahatika kumuona katika ubora wake 2003 hadi 2007 tuna bahati sana, tutawasimulia wajukuu zetu hajawahi kutokea mchawi wa soka kama huyu.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa nabii wa mwisho kwenye soka...Dinho Gaucho
 
ronaldinho-ronaldinho-178428_1024_768.jpg

Mnamo tarehe 21 ya mwezi wa 3 mwaka 1980 hukoo Porto Alegre nchini Brazil, alizaliwa mtume na nabii wa mwisho wa Soka.

Ujio wake ulitarajiwa, kwani ishara nyingi zilishajionesha kuwa mbarikiwa atakaekuja kutambulisha skills zinazopatikana katika ligi haswa ya Mbinguni yu karibu kuzaliwa.

Kuzaliwa na kukua kwake kulikuwa ni kwa kibinaadamu zaidi na alisoma na kupata malezi kama watoto wengine mpaka alipotimiza miaka 13 ndipo matendo ya kinabii yakaanza onekana.

Akiwa na umri huo Dinho aliisaidia timu yake ya mtaa kupata ushindi wa goli 23-0 magoli ambayo yote aliyatupia yeye.

Huyu ndie Ronaldo de Assis Moreirra almaarufu kama Ronaldinho Gaucho the saint ambae akiwa uwanjani basi Malaika huacha shughuli zao na kuanza kumtazama.
Miaka 43 sasa
 
Gaucho mchumba kwa Zidane, hata Wabrazili wenyewe wanakiri. Ni taarifa tu
Zidane hamfikii Gaucho, acha uongo wako.

Sema Gaucho kacheza kipindi kifupi, na hajawa na mafanikio baada ya kutandika daluga.
 
Back
Top Bottom