Happy Birthday Mwenyekiti JF Rock City Wing!!!!!!!!!!!!

mtu mwenyewe Mzee kikongwe unakomalia mizigo, unataka ufie kifuani? uchunwe hela ya pensheni? utapata ugonjwa wa moyo, mwenzio banana man Bishanga ana mashamba bukobaaaa


@c6. Naona umekuja kwa kasi ili kuokoa penzi lako.

Kuhusu kufia kifuani hilo haliwezi kutokea, mimi sio kama nyie vijana wala chips. Kuhusu kabumbu la wazee jarbu kumuuliza Zahra White.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…