Wapendwa marafiki,
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa salaam zenu njema za bethidei bali kwa dua na maombi mema na yenye kheri juu yangu, nawashukuru sana na nawapenda.
Tudumu katika hii desturi ya kutakiana kheri, nami nawaombea mema zaidi katika hali zenu kimaisha na Mola awajaalieni afya njema na umri mrefu pia.
Ahsanteni na PAMOJA DAIMA!!
Rock City.