ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Haya basi utakavyo weewe dady
kwani hutaki kuwa na mkwe mpya?
kwani hutaki kuwa na mkwe mpya?
wewe ndio unijibu hivyo...
wewe ndio unijibu hivyo...
Anaonekana siku ya kuzaliwa tu,
Mpe hongera zake.
For ur information mimi ni Katibu wa JF Rock City Wing... Sasa nitakosaje kujua taarifa za Mwenyekiti wangu????? Wahca wivu weweeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ma' Mkubwa huyu ndugu huwa yupo sana majukwaa mengine, ni nadra sana kumuona haha CC ndio maana unaona anaonekana kimachale saaaaana!!!!!!
Happy Birthday.
Mungu awabariki. Ikibidi muoane wenyewe kwa wenyewe ili kudumisha undugu.
afu charminglady sema keki tunaikata wapi?ututumie fast jet wengine